HAPPY BORN DAY MANDOZI SPORTS ACADEMY

We have been wait for this, finally Academy Mandozi born again today 29 of November. Lord stand on our side to make us meet our target and goals we planned. siku kama ya leo tarehe 29/11 Mandozi Sports Academy ilipata usajili wake na kutambulika rasmi kama kituo cha kukuza vipaji kwa watoto na vijana. Happy born day Academy Mandozi. Mungu tupe uwezo wa kusimamia na kuendeleza kituo chetu.

Let Them Know!